Poor MaDVD

Huyu mguys hakuwangi na ma adviser?..

Hii kitabu manze, imefanya amemalaysia wabaluhyia mbaiya zana… Who advises him?..

Hivi kwanini nyinyi majirani mnapenda sana kuandika vitu kwa code??? Sasa mimi Mtanzania nitaelewa nini hapo mzee

imagine writing your autobiography only to end up writing about one person…RAILA.

Unachekesha sana braza. Sitakuficha, pia mimi huwa siwaelewi saa zingine.

There,… Fixed

Hata mimi sijamuelewa

it’s the media stupid.
He has also written a chapter about his betrayal by Uhuru and Ruto but guess what, the Kenyan media sensationalizes the chapter about NASA and Raila.
Was he supposed to write about NASA and leave Raila out?
Think man, just because Railas spokesmen Dennis Onyango said it you don’t have to repeat it blindly.

Now Raila brainless minions, is this still about him?
[ATTACH=full]274158[/ATTACH]

Hey, we are doing our bit to help market Mdvd’s book and we have run away with this angle, you can also choose to concentrate on any footnote you wish.

Sema huelewi kiswahili saa zingine. Ukisema hutuelewi Sisi unakosea. Kwasababu baadhi yetu tunakimanya kimombo pia . Kwahiyo ukitaka ufafanuzi kwa kimombo tutakusaidia

Kipi ambacho Hujaelewa hapo? Niandike kwa laugha ya mama .

Kwani Neno k.i.p.i ni matusi humu? Mbona limefichwa kwa nyota?

Hujanielewa braza. Siongei kukuhusu infact nakubaliana na wewe. naongea kuhusu wakenya wenzangu siwaelewi haswa wakitumia maneno mengine nisiyoyamanya.

And what has that got to do with Luhyas?

:smiley: