Pombe

1 Like

Why should you buy alcohol to sura kama Poyoloko?

1 Like

Huwa nashukuru Mungu sijawahi kuwa na tamaa ya pombe, sigara, drugs ama substance za ajabu. Niliponea kweli kweli… huwa nahurumia walevi. Mimi ni kama Ruto… ka coffee black or white, tea black or white, juice nashoro, maziwa mala ama maji and I’m good. Sasa huyo amewekea basmati rice ama kumeenda aje