Pombe kupotea

SAS mngment iko wapi[ATTACH=full]143757[/ATTACH]

4 Likes

[ATTACH=full]143758[/ATTACH]

3 Likes

Jatelo hio pombe ata ikiwekwa sukari ineza pata taste kweli?

6 Likes

Jifunze kumwaga pombe kwa glass kwanza

8 Likes

He’s poured it the right way. More foam in the glass means less discomfort in the stomach.

3 Likes

Ulisahau kuitia wadau sherehe… Meffi wewe

watu wa KC hatutambui izi

tunachoma liver na hatusumbui

5 Likes

Mimi sijawai elewa utamu ya hi Guinness

1 Like

Apana babaisha VE hapa

Naona uliamua ukule njugu badala Ya nyama.

Bad Pilsner ice iko in production skuiz? Sjaiona kwa muda, it used to be very sweet

1 Like

Hiyo pombe huwa Cat piss zikiwa na Heineken and Carlschieth

Jana I had a taste of JD Tenesse honey though it was not my main drink and mehn! Sikuipenda. Don know kama ni iyo kuchanganya ama ni nini but the damn thing is too sugary. Mpaka sai naskia ku puke saitaan!

3 Likes

Nime kaa bila kucheki pia manze…ilikuanga form manze

1 Like

Was drinking hennessey jana…that shit is beyond smooth…too good…uki idrink utashanga why unakunywanga hizi konyagi

2 Likes

Southern comfort is equally sugary but ni tei ya maana sana

Ime fika poi point mna pangia vile mtu ana kula kashumpa!!!?

1 Like

Pombe ikipita 6k huwa smooth

2 Likes

mimi nikiwa nakunywa kukuwe na JD , HENNESY , Johny mtembezi and other top brands , i usually drink Jameson i love the taste taste , ya hizo zingine zilinishindanga kitambo .

jameson ni fake tu zimejaa