Politics sio mchezo

2002 elections remind me of my friends dad … called waKan …

So wakan was this mzee who used to buy scrap metals in our mtaa …

He was quite popular n I remember he had this kasmall sacco , where local kijijis would save money especially men on the hope of buying pikipikis … his wife had taken a big loan from Mwalimu sacco n invested it in that kasmall sacco , n business was quite good … failure to pay any loan extended to u … she would hire mungiki guys to give u a warning else u meet ur maker , so majority paid on time in fear of what the kiandutu mungiki would do …

Wakan then had this crazy idea to run for MCA sit back then walikua councillors… wacha campaign ichache moto … wamama wakijiji used to sing wakan ni wetu , wakan kana gaitu gagwiciarira …

He even sold one of his cxz lorry n a piece of land to do massive campaign… pale kwa sacco members were given loans chapchap …

On election date , people voted … only for wakan to emerge no. 8 out of 14 who were contesting… upon receiving the news he collapsed n was rushed to Thika General Hospital where he stayed in a coma for 3 weeks …kutoka hosiiiii he was no longer the wakan we knew he fell into depression … the wife too fell into depression after many of those who she had granted loans failed to pay … she wasn’t in a position to pay mungiki mercenary… she was still unable to repay those who had saved in her kasacco …

N that was the fall of wakan . … juzi nimepita hapo kwake …nikasikia wakan is now a prophet …he has opened a church together with his wife …n was like hii damu ya ukora kwani iko inborn kwa wakikuyu …

@MachaaWaHadithi ni kama unakuwaga kayhaay kia duikiii.
Uko na uchokora mob sana

Love your stories…

M just a philosopher

inaitangwa coming back banaa , unachapwa knockout na life, una blackout , you take some time off, na unarudi kwa ring, spirit of a fighter.

Kiandutu is a proper hardcore slum in Theeeka. there’s another called matharau which mushroomed around a quarry…noma pia

U wlcme

Iliisha nowadays haipo

@MachaaWaHadithi unaishi kiandutu wapi ju iyo place ni hardcore naitambua mbaya

Gani iliisha? Matharau?

Kwa reli

Kiagombe … govt gave them land , they sold the pieces at throw away prices

We ni bazu kiandutu ndio place najua Kenya imebakia ata mat kama sio za iyo area haziwezi kanyanga…thika ata kukuwe na Jam Kubwa aje ya watu wa kiandutu hakuna mat hufika uko…utapata mat za thika road zimefunga zina beba watu wa makongeni ama weitithie na 30/40 bob lakini kiandutu ni shorter distance lakini wanabebwa na mat za kwao:cool:

Wewe unafanya kazi ya kuchunguza maisha ya watu kijana