Niliona hio story nikashangaa yaani hawa watu wako na 10 cameras and over 200 phones and 15 laptops hao watu ni hatari. Hizo camera pengine waliibia tourists
Kumbe hawa wasee ndio waliibia 3310 yangu ata kwa TV niliona Mwas mwenye alikuwa anataka kunidunga. I hope akienda jela atadungwa or a big guy makes him his bitch
Hizi ni zile police labda wanacollect over the years so they can unleash to the media after a bout of criticism, “mnasema hatufanyi kazi, si mnaona tunafanya kazi?”
Either that or they pocketed all the modern models first before this display.