Ndio hiyo. Hawa ni wanan’nan’g na wanapigwa kama ng’ombe, je sasa jeshi ya Murima watajengwa namna gani
hehe sijui mbona nacheka sana
Sasa wamefanya nini dio wapigwe ? There was a time a police car got accident mbele yangu huko kitui interior I found it in ditch as they writhed in pain , I never even stopped or cared , hizo mbwa zinafaa kudedi tu
Hawakutoa ile kitu
Sijui what might have led to this. But sometimes shida ya makarao wetu ni enyewe wanakaanga tu D materials or even worse. If the police happen to be doing random checks and find out that a certain business does not have the required documents, such as an expired license, or has at least flouted some rules, should they deal with the customers or the owner?
For example, in most pools, unapatanga the owner ni mayuts. Most hawana license, so operating illegally. Wakikuja wapate watu wanacheza, badala ya taking it with the owner, they turn to unsuspecting customers, even rounding them up, coz the owner already fled. Si waambie tu customers waende home hio biz iko na shida flani na wanataka kuifunga.
Si job ya police kucheck licenses ya biz. This is a shakedown ndo watu watoe kitu ama walale ndani.
Most of those places are points where small time criminals go to relax. We ukipata jamaa anashinda place kama hio kila siku usipende kukaakaa hapo. Mtachotwa pamoja uambiwe wewe pia uko kwa hio rende.
This is not true for all cases though.
Watu ya tutam.. tuko serikalini
Polis huwa washenzi.. kwani kuna sheria kwa constitution insema usiku kila mtu anafaa awe ndani ya nyumba..
Such videos just prove how this world is a rotten place. So why exactly did they just beat them? I guess they get some pleasure out of it.
Your tin god kathiongo anafanya kazi buana. Tutam
Watumwe wakuje wakusalimie hapo kathonzweni wakusyage mpaka ujinga itoke kwa kwichwa.
D- hawezi reason hivo
Without those handouts and collusion with criminals, they’re just but paupers.
Induction program and coursework at kiganjo ni kuambiwa mkakuwe maraya waizi na wauwaji uko nje.
Am from nandi county and this is unacceptable. Nandi leaders kazi ni kukula tu pesa ya uma hakuna kitu ingine wanajua. Fools
Hawa ma boys wange declare war. Hizo mpira za pool hukuwa weapons. Wangengoja tu venye wameenda kila mtu ashike ball na kulenga makarao wakikimbia makwao
Utachezaji na hizo umbwa na unaoma wako na bunduki. A gun combined with an empty head is a powder keg. Kenyan police are boneheads.