Police Encounter

Ukiskia polisi wanaitwa anti stock theft wako area yenu,potelea mbali au uingie ile choo ya shimo.Mambo walitufanyia tukiwa solo ya mbuzi huko Rumuruti na Maralal,Mimi hukumbuka naangalia makende kama iko.Unapigwa vita hadi na farasi na anakukanyaga ukiwa chini

Pia pale Nyahururu makanga walipiga gari ya GSU mawe,dakika tank zikiisha ilikuwa Ghost town.Mimi natoka ma4 na kabike kangu bila shughuli,kufika junction inakaa number 6 vile imekunjwa,kuuliza shida iko wapi,nyahunyo na miti ya jembenilikuwa nazituliza kwa river hapo manguo

During the orange/banana referendum campaigns, Kibaki na Tuju walikam Kisumu campaigns hapo Moi stadium.
Wacha sisi na kiherehere tuende kuheckle the president alafu tukakimbia tukaingia Kisumu poly hapo kando, weee.
Hao GSU watu kama kumi tu, walipiga mpaka cooks:D

GSU wajamaa watano wanaweza piga kijiji mzima mlie na mhare.Hao watu ni wanyama.Ni kama wanatumia steroids

The other day niliwaambia zile places nimetembea hii nairobi bila shida oblivious of the dangers, moja yao ni hii kosovo. Nimevuka hizo bridges zote, hata hiyo chang’aa den nimepitia pekee yangu, and guys were just about their usual business though i was sensing danger all over.

Naona tumetoka mahali moja.

Count your lucky stars