Police chase on dirt road. The guys are just overrated!!!!

The police is still chasing the guy up to date.

https://www.youtube.com/watch?v=QP0k1Ita3fY

D- ni same kila mahali. Sasa hio ng’ombe ilikuwa inafukuza nini?

:D:D:D…jamaa amefanywa vile masunguch mwitu hufanya dogi, hiyo turn hata dogi huwa inakubali sunguch nyama haipati.

hapo kwa turn ya mchanga hata bike ilikataa.Kijana seems to have evaded the cop kwa hio imediate left turn while the cops wa turning back and looking out his periphrals