Pole - KDB imelimwa na matatu

From Japan to Kenyan roads.

https://pbs.twimg.com/media/Ewv7Pp_WQAAxBv7?format=jpg&name=medium

https://pbs.twimg.com/media/Ewv7PXpWQAAFB4-?format=jpg&name=medium

Nuksi nooma!

Hii vitu inatakanga insurance ama utalia

Hizi si zile ukora za hawa wenye guzzlers ku defraud insuarance firms.

One needs comprehensive insurance from the moment the car leaves the ship.

I doubt the matatu driver would buy that. He looks like he took it hard. Again there would be little benefit crashing a car like that. Compensation will always be less

Mat kunichunisha kdb sukuma

Hakuna 3rd kwa public transport

imepigwa doggy muzito hadi ikainuka

Nitumie Napoleon moja na kilo ya mogoka brother.

Tabia yo mbovu kusimama hata kwa rumble bumps.

That is not a minor accident, it could have killed the mat driver

Na vile alikuwa amekaza hizo dreadi vizuri akienda kuchukua special lady @poyoloko ampeleke out before curfew…

Ako na bahati juu kwa lojo stima ikizimwa @poyoloko angetoa wig na aseme, “Buda kuku umenunua sikatai na ilikuwa tamu! Lakini roho safi mimi ndio ntakudinya!”

Not really. That car is newly insured. I had an Audi A3 in 2015, and I’d bought it for about 900,000Ksh from Japan through SBT. It was assessed and insured for 1.25M and was duly paid about 5 months in after I rear ended a truck at the Astrol on Mombasa Road.

Man u imelima AC Milan:cool::cool:

Mtu wa matatu anaweka Dan James what do you expect? Dan James huwa hana brakes

??