Pokot patriots kill 10 police officers. wamefanya ile kitu

@Gaza sikia huyu

[ATTACH=full]495265[/ATTACH]

Kwani nyinyi ni pokot ??

Kuja kerio valley nikujibu kababaa

Wacha tutatuma KDF mtanyoroshwa usahau kutumia akili…

Ni bahati hizo jamaa sio waislamu…otherwise tungekuwa na shida ya poko haram

Bring it on buoy

so waachwe sababu cyo waisilamu.tumia akili mzee hyo c kofia

@MTINGIZA KITANDA!!! Eleza mwenzako the gates to the killing fields are wide open. We give fuck all who comes by …

Nabii should pray for this to stop

Ona msee mwingine sans degree. So hawakutuma helicopter juu you were yet to suggest so?

Sikuwahi ona huu upuss nikiwa MI6. Eti deploy the army to catch cattle rustlers? Unavutqnga bangi gani hio? Ama ni maji ya kayole mnakunywa imejaa ujinga ndani?

Ni mimi sielewi ama…waliwekwa huko baada ya shooting ama tuna apc’s za river road?

hio watu ya huko huomba nani ama ni wachristo?

Gova ikubali tu

Some wisecracks decided to buy Chinese APCs. Siku ya delivery, gallant officers suggested to the chinku officials waingie ndani ya moja ipigwe risasi wakiwa ndani as proof of concept. Omuchinku hakukubali hio maneno hata kidogo.

Kuna watu wanangoja change kweli?
Si hii topic nadhani elders tulishaitafiti kwa kiundani na tukaumaliza? Ama mlidhani Nabii ataleta mabadiliko?

Mnangoja?

Nakumbuka…ndio nashangaa our guys wamekubali kuwa deployed in those death traps…:rolleyes: real shithole this here country.

Kenya does not have some serious air support.The bandits will shoot down the planes and the broke government cannot afford such losses

The bandits will just lie low and melt into the towns and villages.The millitary will be left harassing and raping kienyeji pokot girls before being withdrawn after 3months.The bandits will then surface to continue their business