Bandits ni wakora sana! Look at their shoes
[ATTACH=full]496072[/ATTACH]
Hii ni ku confuse wenye wanafwata ngombe.
Nani anaweza niambia hii ngombe inaenda direction gani … nione kama kuna potential “rustler’s for hire” hapa kijijj.
[ATTACH=full]496076[/ATTACH]
[ATTACH=full]496077[/ATTACH]
The deal is to fool the police that the cow is heading to the left whereas the pokoti is heading to the right .
Ume qualify for field commander tayari @Abba Lakini itabidi unapunguza gorogoro ukiwa ops…
They learned their craft pale suguta valley…
:D:D
Lies. Bandits need light shoes to run. So they are always on
[ATTACH=full]496083[/ATTACH]
Again, those persuing cattle use the hoof prints as a lead.
Ni kama nikiwapelekea crocs watanunua sana
it is not about lightness. Wanaweza tumia sneakers. I believe these are for protection against thorns
Haha…as capitan has written, hizo firestone tires aziwezi penetrate thorns. Huko akuna civilization. So nobody need shoes, except akala/nginyîra/nyarîga
Crocs huwa light and very comfortable you can walk long distances wearing them. Nitaweka tu a kevlar anti thorn insole and bandits will give me their money by the bucket loads. @Gaza unaona aje?
Unapea @Gaza biz idea, sasa mahali yuko anatengeneza sample apeleke trials ikipita anakuwa manufacturer anaondoke kazi ya rustler
hawa wa pokoti wenzako walinichapa sana huko kanyarkwat, kobos na maridadi. Kapkoi walinikimbiza sana. Siwapendi kamwe
Upus.
Kwani hio ngombe inatoshana na paka ndio front and hind hooves zikue inches apart? Shienzi kabisa.
Crocs are worn by low IQ bonobo sissies like you
Crocs would last a week in those terrains. They need reliable footwear and those akalas satisfy their needs.
ngombe ikitemebea mguu ya nyuma hukanyanga karibu na mahali mguu ya mbele ilikuwa
Na hile stride kubwa?