Pocket money

Kuna dem aliniomba pesa …niliamua nimtumie airtime ya 20 aitishe wazazi wake pesa…betamales take note

Inafaa ivyo … uchumi ni mbaya

Mosa unasumbua

Kuna ingine inasema vile inataka kumove end month…
Nacheka peke yangu

Hii umecopy wapi? I have seen it in several whatsapp groups.

Kumtumia hio 20 Bob bila hata kiss in return shows you are a beta male

@Alpha Male is a beta male

20 bob is too much. A one minute call costs 4 shillings. Ungemtumia 5 bob