Does anyone have any experience na poa internet. Nmecheki kwa site yao rates ni only Sh 1500 a month for:
[ul]
[li]Unlimited data usage – no Data Caps[/li][li]Speeds of up to 4Mbps[/li][/ul]
4mbps naona ni slow sana. Kuna mtu ameitumia anichanue?

Utalia kwa choo. Look at their mukuru review
Poa = gute
@Gouled run for your life and never look back, they ferked my friend so bad, just go to their facebook page and read customers feedback
Enda kwa twitter page yao and see the sheer number of complaints.
Sasawa wakubwa…hizo red flag ni mingi
Let me advise you…Ata usijaribu hio wana.
area ya dago inaperform lakini ku stream ni balaa
Si ununue tu TP-Link router na ethernet cable 30M nikuekee mneti inafika 20Mbps hapa ,naona we ni jirani
Pesa ngapi? Poa net ni useless sana
TP link ni 2500 pale jumia ama kwa any shop inauza electronics,iko na 4 ports,na ununue ethernet cable tu