Please Advice

I once posted here asking ni biashara gani naeza anzisha na capital ya 1m.mkanipee biz kadhaa to select from.i managed to add up to 3.2 m(loan lakini).and i settled on matatu industry.saa hii nko na kbl 7…v.kwa barabara.so my guestion is.?nilete dere relative ama nichukue mtu hata hatujuani??

Kwani inajiendesha saa hii?

no !sorry.iko na mjamaa tu fulani but nataka kupea mtu parmanent job.bado sijasettle na yy

congratulations on your new venture.
Mimi wacha nisubiri wale wana ujuzi kwa hio sekta walete mashauri yao.

I wouldn’t hire any relative am not ready to beat to death in case it doesn’t work out. For the simple truth that you can’t just tell them to leave your life forever. You still meet them at gatherings and shit.

tulikwambia, marathon kama soo wewe unajiendeshea wachana nayo.

14 seater or 33 seater??Tafuta dereva mnajuana na trustworthy.Seems ni second hand.Hope you dont regret one day.

Niko na

Niko na Mchina moja rafiki yangu anatafuta kazi jina lake ni YU MING,alikua dereva wa train kule kwa Guangdong province china.Atume cv ama vipi?

NEVER EFFA DO BUSINESS WITH A RELATIVE…As a VE hii ni mambo we expect unajua already

Am in that sector and can tell you for sure you made a very worse decision with no experience whatsoever, kaa chini na watu wa mat wakupee advise bro, you can never see the inside when you are outside.

noted

juu already nishaingia acha nikazane nione vile kutaenda.

hio najua but kuna wale unaeza trust

They always say experience is a good teacher, there’s also a saying that don’t check the depth of the water with two feet, that’s a huge investment bro and 2.2M is from a loan? :eek::eek: You just should have gone through some of the earlier comments on why ommoiner mats are being auctioned. The risk is even compounded by hiring a relative. Treee wrongs have already been done.

holy shiet.nimejikonjolea but ishafanyika .wacha nichukue maasai aniendeshee hii gari.nairobi ikiwa ngumu sana naeza enda town ingine

Vile wahenga wamesema, trading with relatives is always tricky and technical. What you’ll always lack is that formal or professional relationship btn employer and employee and here you position is by default compromised. And some relatives never have respect in such cases. Wengine ni mshene home

thats very very tru bro.very tru infact.
in this case a relative is a nononononononno

kuna mtu alisema ukibuy mat ununue viti mbili moja kwa garage ingine kwa police station…anyway try your luck in it

ndio hio .investing lazima utake risk.otherwise nitashinda kuona matatu za wengine badala kuhesabu fleet yangu

Kama ungejiendeshea, ingekuwa fiti kabisa bro. At first, ujue ma ujanja zote, msee akileta ufala, unamchuja na job inaendelea. Niko na plan ya kubuy fh mpya, nijiendeshee mwenyewe kwanza.