Wapi naeza pata ps3 mpyaa at a cheaper price na wanamek deliveries to Coast…na msiseme Jumia ama Kaymu.
Sitasema Jumia ama Kaymu.
Ps3 mpya at a cheaper price… :D:D
Hebu try jumia… ama pengine Kaymu
2 Likes
Sijasema Jumia ama Kaymu
1 Like
Jaribu hii www.notjumia.co.ke or www.definitelynotkaymu.co.ke
7 Likes
Nimekuangalilia OLX lakini hakuna…
[ATTACH=full]24925[/ATTACH]
7 Likes
Si u save up na ununue tu ps4? Hii windows xp mentality yawa
1 Like
Mpya mangapi?? Nadai buyia mtu as an xmas Gift…ndo maana
Upuss
Hmmm, saving to buy a ps4
Ngojea Njaanuary utapata discounts poa
1 Like
PS4??? games utatoa wapi na vile ni expensive???
1 Like
Why give someone a cheap xmas gift. Siuwache tu
He is a kid
filthy console peasants
[ATTACH=full]24940[/ATTACH]
1 Like
1 Like