Platinum 7D Nakuru.. Is this show off necessary

https://twitter.com/Moseax/status/1761627012932805022

Umeona uleffi ikupereke nakulu jigaaaa

4 Likes

Tafuta pesa wewe kijana

1 Like

Noveau Riché @bandit flexing

1 Like

I feel sorry for the shisha smoker who is visibly embarrassed…and the young single mother who has no choice but stupidly dance along to earn a living

21 Likes

Hii life ni ngumu sana , the guilt once reality hits ni noma kuliko pnc

5 Likes

Let people enjoy their things

1 Like

Pesa ya tender ya county imeingia

3 Likes

Kwanza the single madha banae.Ana dance lakini akili iko mtaani anajiuliza kama mjunior amekula ama amesumbua mboch

5 Likes

Afanye hivo na keg pale calabash. Atapewa free na lanye ka wote

1 Like

weh, huyo single mother inabidi apige fake smilesand dance continuously

3 Likes

usisahau gaza hapo kando na jumper yaa drew… huyo anaka jambass sugu

huyo mungich singo madha anafanya sasa nini dancing like some knock off chinese robot.

huyo mluhya mjinga ameiba pesa za county sasa ni kuharibu pesa then in ten years hana kitu

6 Likes

Ja Kisii, yawa!!

Pesa ikiingia bila stress…

fixt

Tender ikiiva basi, chagua!