https://www.businessinsider.com/elon-musk-begged-forgiveness-affair-sergei-brins-wife-2022-7
Elon alinyorosha bibi ya Sergey Brin (Google founder). Akaomba msamaha kwa party. Sergey basically bailed the guy in 2008 kumbe asante ya punda ni mateke.

Mwenye kukuliwa ndiye mjinga. How do you even accept the apology?
Sasa tutasoma huu upuzi mara 896,069 hii wiki.
Correction. Ya leo ni mara ya 896,070 :D:D
Clips or pics bana…tumechoka na kusoma.
Ala! Sikuwa nimeona.
Siyo ku accept. Ni kukutwa ghafla. Alishaanza divorce so Musk ni ujinga ako nayo. Jamaa anafikiri public apology itasaidia.
Mtapeana evidence hata kama ni link… Muache upus