Wenzangu hizi plantain ziko na jina in swahili ama local name kweli na zina patikana wapi?[ATTACH=full]77881[/ATTACH][ATTACH=full]77882[/ATTACH][ATTACH=full]77883[/ATTACH]
1 Like
Hii si no ndizi tu. Miraru in Greek.
2 Likes
Ukifry hii na butter in tamu sana.
@Eng’iti kuja hapa
1 Like
There is a market next to prestige Ngong road. Thats where i buy them from.
za meru ni tamu sanaa
Zinaitwa mkono wa tëmbo in Swa.
Mbogoya ni tamu
Kula ndizi zako pole pole na uwache kutusumbua.
Wakulima market. Hizo hutoka kisii.
:D:D:D:D:D:D:D:D:D.
@pamba that name is from Ug