Planning and good luck is the only way to be successful in everything

Definition ya Success is anything that went according to plan. Mimi nime realize hii life ukiwa na plan you can do anything. Wewe chora plan ndio uanze. Breakdown hio plan into phases. Ndio Usikue overwhelmed. Kama ni plan short imemalize na usonge na life

Mimi Nikiwa na any situation that I need to sort, nakaa chini na naandika plan. Hio plan na create 2 scenarios. What to do to get the success. Alafu Na note Any wild cards that may happen that may cause failure. Hio plan na rehearse for atleast 2 days before Execution. Hio day I say a little prayer juu lazima uweke saa Godi mpangoni.

Hio plan naweka timelines na alafu na iweka into different sections. For example plan A itaanza from 8am. Nafaa kupata success by latest 9am ndio nisonge na plan B. Hata Plan A Ikifail, Niko na alternative ya Plan B vile nitaendelea bila success ya A. The main point ni hio siku ikiisha nikue nimemalize hio shugli.
Nikifika Kwa keja na jipiga review. Kama nimepata success. Na kama nime fail ninge fanya nini different. Hii njaro nimeona kupata success in everything I do is like 99% successful.

Shida ya ku pre-plan vitu inafanya unakua na fixed mindset. You can’t think outside the box haraka but hata kama kitu imekupata off guard. Just relax, Mimi ujua hakuna ngori noma kwa hii dunia. Plan a solution na all possibilities that can make that plan fail.

Usiwai jiweka pressure. Kama plan inadai madoo na hauna. Wewe relax. But weka Kwa priority ukipata Doo. Usikose food na tokens juu Kuna ngori lazima iishe. Its not the end of the world kama Bado Kuna ngori

Finally a man is a must akue na plan ya income. Ukipiga hesabu ya mwezi kama rent, shopping, fees ya majunior, fare na tokens, unafaa kujua where your next income is coming. Mwanaume mzima hafai kukua clueless atatoa wapi Doo. Kama hawezi pata hata Soo per day wewe jua you are very useless. Hii dunia lazima ukue na ability ya convince anyone to give you money hata kama unasema makata. Juu ukweli saa zingine inaweza fanya ulale njaa.

Jaribu hii advice Kwa life yako and Thank me later

Amka ukunie kabla ya mamako ng’ombe hii. Nani atasoma hio upuzi yote written na pimp WA calabash ?

Amka usikunie kwa bed takataka hii.

Those brothel toilets won’t clean themselves.

1 Like

What’s your most successful anything? Like most gen z swine, it’s easy to come up with ideas but very difficult to do the execution outside your imagination.

1 Like