Place YOur Bets

Wale wa championships kuna games leo

Manze jumaKubaffu aliniroga. Kuna multibets nne niliekelea Na Zote nilihata Na game moja Tu. Moja Tu manze. Kunayo ulikuwa Na games 4 Na ingine ilikuwa Na more than 12. Si hio Ni kurogwa?

Championship ni tricky joo

@Mzee mzima nataka bet.,Advixe

:eek::eek::eek:CHOKOSH! APA UMETUANGUSHA

tunakamua spesa daily na hatusumbui,ni ma over 2.5, gg

Nchapie, unasemaje?

kubet ball za leo. una idea? niweke ganiz?

Skuizi nacheza na games tatu kwa bet moja. Combi kama ya eg (1.17, 1x) (1.26 ov 1.5 goals) alafu (1.44 ov 2.5 goals). Ukidu ivo unapata odds ziukam kitu 2.2 ama apo karibu. Nilifanya ivo nikaskuma punch adi 17k sa ufala ni ety inatake long. Acha nisake nikusho

@Jirani izi games za 7;15

Nimecheza

League Cup, Premier
Bnei Sakhnin FC - Hapoel Kfar Saba
Under(2.5) O/U 2.5
1.55
1333
DBU Pokalen
Herlufsholm GF - Nykobing
2 1X2
1.17
1332
DBU Pokalen
CSC - FC Helsingor
Over(2.5) O/U 2.5

Imeingia, ntumie Euro we Mkale