Pinning Threads: Drunk Driving

Elder Stateman @Meria Mata has been on the fore front urging y’all who drink, not to drive while under influence.
Amesema, akasema, akarudia kusema.

Ile thread imepinniwa leo, wacha ikue ya mwisho on the matter

Kama hamsikii na hizo FAXE zenu, shauri yenu

Tutawazika tu

Hatuwezi shinda tukikaa ni kama tunasumbuana

Mshike kitu mara moja, otherwise mkifa ufala itapungua

13 Likes

@Jirani alisema theres a reason why Uber reduced charges

5 Likes

Si ungecomment kwa hio thread badala ya thread mpya.

1 Like

NAENDESHA PUNDA NA NIMELEWA

2 Likes

siambiwangi

wewe umetokea wapi hujui?

@uwesmake unapenda kutoka machakos hadi mancave ka umelewa

tutakuzika tu

Gari inajua njia ya nyumbani

1 Like

tutakuzika tu

And by the way, drunk driving is NOT the number one cause of accidents

1 Like

Kwani wewe utaishi milele?

U r annoying

hutanizika wewe

Numbers don’t lie

PAISKELI ITAKUGONGA TUU HAPO MARSABIT NA UKUFE

I prefer kuchomwa

Ongea na @mishty mapema hii

Kwani wahindi ndio huchomwa pekee?

Tabia za ki.pagan hizo

Nyinyi watu wa kitabu huwa hamchomi mili

@The_Virus yule dame/jamaa ulifallia late jan …was it a crush or love?
You must have confirmend bynow

Bingwa mnusa, kama unataka kuleta dini kwa ulevi nko na kitu ya kusema:
bhang, khat, cocaine, heroine impairs drivers just as much as alcohol does…
and we know the majority of people who use those mostly dont drink alcohol and majority of those are … yes MUSLIM

2 Likes