PINKIES WA TZ TUOSHENI MECHO

Ni machafuuuuuu

Hujaeleweka Ndugu jirani

Hawatakuelewa ukisema Pinkies…

Sema mademu wa Tz ndiyo wanaelewa…

Cc: @Mahondaw

Hahaha d

Hahaha duh kumbe anamaanisha mademu

Mood muonesheni jukwaa lake
Dabu

Sasa kuoshwa mecho ndiyo kukoje?

Sijui alimaanisha macho??

Kwa kweli kuna shida mahali kuhusu hiki kiswahili cha wakenya!!

Na ukiwaelewesha wanakutoa nduki yani elimu Bado inahitajika hapa

Wakubali kwamba kila lugha ina kanuni zake. Siyo wanachukua maneno ya lugha zao wanatumia usisisi kutafsiri!

Cha ajabu kaingia mitini kabisaa

Kuosha macho wanamaanisha,mademu wa tz waweke picha ili wao wazitizame

Nipo nipo kaka

Hapa ktalk tuna lugha yetu. Tembea kwenye kitengo cha ktalk lexicon.

Hata hivyo mkuu mbona umekuja na topic isiohusiana na hapa? Hili ni jukwaa la siasa, sio mambo ya kipuuzi. Samahani kwa hiyo lugha lakini wabongo tuko very serious na mijadala ya kwenye hili jukwaa.

Kiufupi huwa hawaeleweki kaja kwenye jukwaa kaleta mada kisha anabadili gia angani

mod ndio apeleke uzi pahali panapofaa, rahisi hivyo. sio siasa miiiingi:meffi:

Mkuu siasa ndio kichwa cha jukwaa, hivyo “siasa miingi” ndio penyewe haswa.

Na hiyo Avatar yake inaakisi akili zake

Hahaha sisi watuache kwanza tuendeleze harakati zetu Mapenzi baadae