[ATTACH=full]219537[/ATTACH]
Section of women leaders led by Governor Waiguru condemn MPs criticising Jubilee’s development record; pledge support for Uhuru-Raila pact.
( @digi kaa huna bundles useme, mshienzz x 5)
Moses kuria alishamaliza hiyo cartel yote.
Next week ni demonstrashens in support of Gatheca.
Kweli sisi ni washienz.
mbona hii tee fee iko juu ya suitcase
[ATTACH=full]219545[/ATTACH]
Wauhuru ni mwisi
Pia naona ni kama kuna kitu ya pink imevaliwa ndani ya hiyo bag
Hawa wanafaa warudi salon wakasengenyane halafu straight Nyumbani wakapikie wazee mashakura.
nimeona hiyo ufala over lunch hour and got me thinking,tangu handshake,is there anything else constructive leaders talk about nowadays?..conversations be like…
mkenya:“…errr,mweshimiwa kuna huu mradi wa kusambaza maji uliahidi…”
leader:…nakumbuka sana watu wangu,lakini sasa vile handshake imekuja,err…ningependa kusema wakenya tuungane"
lemme just say it her,i DONT think the handshake was genuine,if it were,thhe hype ingeisha one month later coz the main purpose was peace.now politicians everywhere be telling us daily to make peace with our neighbours,na hakuna vita tuko nayo among ourselves kama wananchi…but juu mtu akismama mbele yenyu hana kitu yoyote ya maendeleo anaweza sema,unaskia:“ohh,langu ni kuwahimiza muwe na amani na ushirikiano kama vile babah na uhuru walituonyeha kuungana.kuungana kwao…blah…blah…blah”…
remote ya TV inaweza funga hiyo mlango?
We are being carried babies by all these reaction statements by so-called leaders. Kuria and co. spoke the truth and rustled more feathers than the public might have anticipated.
I won’t be a shenzi because it is clear who are the real fools in this ‘Game of Thrones’.
Kama hukujua nchi yako ni ya umeffi this is the time to come to terms.