Hii beer ni meffi Sana na vile @Azor_Ahai husifu hii takataka heri nimeze balozi na whitecap
6 Likes
Me hufinya pilsner pia…idk about others but ya Can na chupa hunionjea different…
1 Like
Beer zenye ziko kwa can hukuwa na metalic taste especially ukizikunywa zikuwa room temperature
2 Likes
Tunajua umesacrifice 300 ndio ukae karibu na watu wako na pesa upite na iphones kadhaa. Mwisi meffi
11 Likes
Beer ni Tusker or any of it variants. Personally I take tusker lite.
4 Likes
Tusker Cider kwani wewe ni mwanamke?
3 Likes
Humbwer ya 150 niaje
Hio pilser kwa azor ni turbo banae. Amedai vile alikula mdengez shot sita after kubugia hio kitu. Mujamaa alikuwa shoked yake yote hadi akafikisha habari kwa Kijiji. Leo anadai ku break record: raundi nane. Sijui anakunywa nini but najua ni pilsner na Guinness.
1 Like