Piece of Sun

What if you cut a piece of sun ujiwekee, wakati jua kubwa imezama unatoa kale kapiece kwa kabati unamulika kwako?

Can only happen at night ukiwa base na taxin imejaa mdomo…

Apana elder, think outside the box… I mean outside space

The sun is not solid and works on fusion… for which we’re still struggling to establish a proof of concept.

Punguza bangi

Hata kama ni gas ama plasma (4th state of matter) si unaweka kwa chupa ya glass. Maybe even 1gram is enough

[ATTACH=full]355518[/ATTACH]

Sijui nilie ama nicheke:D

Unaelewa what temperature matter has to be to be called plasma ama unatroll tu, plus you don’t need the sun for that, you can create it on earth and magnetically confine it in a ‘glass’, which would prove useless because of the cost, si ungoje tu free jua asubuhi?

Idea poa, halafu unacharge solar panels zako ata usiku

[ATTACH=full]355521[/ATTACH]

but unaeza bonga na koreans wakupee kapiece,they built this one that lasted for 20sec on plasma with over a 100m degrees https://phys.org/news/2020-12-korean-artificial-sun-world-sec-long.html

Tema jaba…

Artificially made sun haitakuwa poa, ni kama artificial meat. Ukingoja asubuhi kuna times mawingu hukuja inafunika though I think mtu anawezatumia mti reeefu asongeze mawingu kando to let the sun shine through

https://www.youtube.com/watch?v=4f76qZyFtH4

Great! You are now talking. This means these koreans copied my mind

Good to see I’m not alone. Nimefikiria hii kitu sana

Wacha kuonea mmea innocent

Hydrogen ikuwe pahali imevutwa na gravitational force into a ball alafu pale katikati uweke nuclear fusion reactor ianze kutupa ma-protons kwa hiyo ball na ku-convert hizo H2 molecules into helium. Hapo uko na kajua kako mzae.

You are oozing knowledge

That’s my biggest weakness