Pictures of the Day: KDF Training

[ATTACH=full]147678[/ATTACH] [ATTACH=full]147679[/ATTACH] [ATTACH=full]147680[/ATTACH] [ATTACH=full]147681[/ATTACH] [ATTACH=full]147683[/ATTACH] [ATTACH=full]147684[/ATTACH] [ATTACH=full]147685[/ATTACH]
[ATTACH=full]147686[/ATTACH]
[ATTACH=full]147688[/ATTACH] [ATTACH=full]147689[/ATTACH]

Wuehh …do cadets go through the same

I saw a video by a recruit friend. Hakuna jokes huko. Mimi sigwes na sigwes.

They go through shit my fren. Broken and twisted arms is the order of the day.

Mtu anawesa swim na gumboots?

Hii ndio inaitwa kutoa uraia

Saa kumi asubuhi wao hupita hapa kwetu nje kama wamebebania post nusu ya stima.Wafike place inaitwa danger na kurudi roughly 20km.Nyimbo zao za morale ndio napenda

Tuwekee picha za NIS training

Alfu mtu apigwe risasi ya muudu na alshababe???

Na wewe tuwekee Menu ya leo.Mosa brother ako amenyamaza sana

Picture 1234 kurutu

niaje jazzman

They carry the posts running ama ni kutembea tu?

Running ile moderate.Sio sana na sio too slow,the posts are half the normal stima post and all of the same thickness.Huwa nimewapa heshima zao

They deserve respect

I can assure you they get it especially from the locals.

Weka video ya kuswim na combat gear mkubwa mimi hata na T-shirt ni stress

Na kwani kenya haina special forces wale tunaweza tuma kwa magufool chini ya maji akiendelea na hii ushenzi yake…

special forces wako…tena sana

wapi picha zao wakiuza makaa/sukari huko Som, na kuuza mchanga huko Laikipia…