Pictures of the day: Githeri man

Nyumba ya Mumbi
:(:(:frowning:
Githeri man was spotted in a Chang’aa den
[ATTACH=full]154839[/ATTACH] [ATTACH=full]154840[/ATTACH]

where did the guy make a pledge to change his ways/hangout spots? social media followed him, not the other way round. I see guys making a big deal over this on FB while its much ado about nothing really

Konyagi imemtwanga kabisa:D

Halafu utapata watu wana mabibi wamejaza maffy kwa metako ikakuwa kubwa, …ka @Mathaais …wakisema miraa ni mbaya

Miraa haiwezi kufanya hivi

Kwani hakuli?:eek::eek:

Really sad. But addiction IS a serious disease.

mbona amenyoroshwa hivo? . media ilimfanya nini?

hii media ifungwe kabisa !!

Bar zenye huruhusu miraa hazikosi character kama hao.

Hehehe, aliredeem gift hamper ya Safaricom for second generation liquor. Not surprised.

Sasa mnataka awache marafiki wake wa dhiki na faraja??? Haiwesmake a man is his friends

HAVE SOME RESPECT.

Jina kamili anaitwa Kamotho Githeri, EGH, CBS.

Veritable national symbol of resilience according to Uhuru and @gashwin

Oh, time stamp muhimu…labda hakuwa ashakua githeri man this time.

nini nakusumbua?

He He he, Boss that’s not funny.

It was very mediocre for Statehouse to award him a HSC. Hadi wa leo sijaelewa. This guy should have had his day in the media na ikue hivo

Ile thread tulidiscuss his HSC commendation iko wapi?

Nimekumbuka ukisema ati huyu baba ni “resilient” na mfano wa kuigwa.

can;t a man have his tipple in peace without kijiji mzima kuleta umadhe?

@Ice_Cube unaitwa na usitumane priss.

Ona kazi ya @culture