Picha zinajieleza. Hapo ndipo tulipofikia!

[ATTACH=full]179520[/ATTACH]

[ATTACH=full]179523[/ATTACH][ATTACH=full]179524[/ATTACH]

Mimi ninaogopa mno nimeogopa sana…

Hii Ni muhimu kutokana na mkusanyiko mkubwa wa watu huwezi jua Mkuu

Si mtumishi wa Mungu huyo!

Huo usalama Vipi maana nijuavyo kwa hapa kwetu sio kitu cha kawaida kabisa… Vipi mbon ahuu utaratibu umeanza juzi huko Sumbawanga

Rudia tukio la olasiti Arusha cheaf

hua huwaoni manabii wakiwa na ulinzi binafsi kama mabody guard?,au wao sio watumishi wa mungu?,papa mwenyewe ana ulinzi wake maalum

Kwahiyo hawamwamini Mungu sio!

Ulinzi ni muhimu lakini hizi picha zinatufundisha kuwa dunia imeendelea sana. Ulinzi wa kutembea na bunduki hadharani ni kwaajili ya maonesho tu na kutishia watu. Ulinzi wa sasa ni wa kiteknolojia zaidi sio analogy kama wanavyoonekana hao askari wetu. Hao marais usidhani walikuwa peke yao walikuwa na ulinzi mkali sana lakini ambao usingeweza kuuona kwa urahisi hivyo hata adui anapata shida kujua aanzie wapi. Unapomuonesha adui yako silaha ndio unampa changamoto za kubuni mbinu za kukushinda. Rais wa Marekani akihutubia utamkuta peke yake lakini analindwa sana lakini wa kwetu akihutubia utakuta ana watu wawili nyuma yake. Huo sio usalama sana. Sasa bunduki kanisani wapi wapi? walitakiwa wawe undercover au kwa mbali kidogo lakini sio kumsindikiza askofu namna hiyo kama mtuhumiwa wa ugaidi kwani hata rais huwa hatuoni akisindikizwa hivyo

Huku ni kuwatisha wananchi bila sababu za msingi.

Huyo Askofu vipi? Amekwiba sadaka au?

Tulipofika panafurahisha

Unazu

Kwa nchi Kama zetu hizi itachukua karne kufika huko

Huyo Askofu ni wa kanisa lipi??

[FONT=tahoma]Balaa kubwa hilo[/FONT]

Kulikuwa na kiongozi wa serikali katika hafla hiyo iliyofanyika sumbawanga. Askari wapo hapo kuilinda serikali sio askofu.

Si kweli. Hao wapo hapo kwa ajili ya kumlinda huyo Askofu.

Yesu alikuwa Na walinzi

Aisee!..

Kama ulikuwa ni ulinzi wa Serikali basi ungeenda kusimama nyuma ya Serikali na sio Baba Askofu…
Taahira.