system
February 28, 2020, 6:43am
1
Never buy a phone with a battery you can’t remove. Never buy a phone with fixed sim card. Be smart! Block the pic aperture, Zook does it too! Protect your privacy!
smungai
February 28, 2020, 7:01am
2
why about the battery part?
[ATTACH=full]289512[/ATTACH]
non removable battery ni hasara sana.
simu imeshikwa na glue lazima upelekee fundi aingishe pry tool ivunje screen akulipishe screen tena
sometimes battery inafura simu yenyewe inaanza kuwachana kwa seams (Samsung j5)
afadhali removable unatoa na kununua golden flying horse ya 800/= na unaendelea n a maisha
but hizi sio shida za birrioneas wenye wana nunuanga flagship after every six months
Hii ni shida ya kununua $110 phone na kuinstall heavy games na all social media apps . Nunua $500 phone kaka
SwagMargeddon:
non removable battery ni hasara sana.
simu imeshikwa na glue lazima upelekee fundi aingishe pry tool ivunje screen akulipishe screen tena
sometimes battery inafura simu yenyewe inaanza kuwachana kwa seams (Samsung j5)
afadhali removable unatoa na kununua golden flying horse ya 800/= na unaendelea n a maisha
but hizi sio shida za birrioneas wenye wana nunuanga flagship after every six months
mtadao
February 28, 2020, 8:26am
6
Sasa ninunue phone gani? The price range i deal in have irremovable batteries.
not everyone has that buying power.
read last paragraph
Jimit
February 28, 2020, 10:10am
8
SwagMargeddon:
non removable battery ni hasara sana.
simu imeshikwa na glue lazima upelekee fundi aingishe pry tool ivunje screen akulipishe screen tena
sometimes battery inafura simu yenyewe inaanza kuwachana kwa seams (Samsung j5)
afadhali removable unatoa na kununua golden flying horse ya 800/= na unaendelea n a maisha
but hizi sio shida za birrioneas wenye wana nunuanga flagship after every six months
Samsung midrange and low end before A series hot the market used to be complete shit. But siku izi battery wearing out is a thing of the past.
Jimit
February 28, 2020, 10:14am
10
Hizi ni simu gani izi ziko ma removable batteries unaongelea mjamaa almost any phone that came out in 2019 has non removable battery. Na hii tabia ya battery kufua ni zile simu za kitambo au simu za less than $80.
ebbie
February 28, 2020, 4:49pm
11
I think majority of midrange phones come with non removable batteries sa unaongelea simu ya how much
Simu ikiharibika unanua ingine as they come…ala
SwagMargeddon:
non removable battery ni hasara sana.
simu imeshikwa na glue lazima upelekee fundi aingishe pry tool ivunje screen akulipishe screen tena
sometimes battery inafura simu yenyewe inaanza kuwachana kwa seams (Samsung j5)
afadhali removable unatoa na kununua golden flying horse ya 800/= na unaendelea n a maisha
but hizi sio shida za birrioneas wenye wana nunuanga flagship after every six months
That’s very peasant. I doubt there is a phone above 20k today that has a removable battery.
SwagMargeddon:
non removable battery ni hasara sana.
simu imeshikwa na glue lazima upelekee fundi aingishe pry tool ivunje screen akulipishe screen tena
sometimes battery inafura simu yenyewe inaanza kuwachana kwa seams (Samsung j5)
afadhali removable unatoa na kununua golden flying horse ya 800/= na unaendelea n a maisha
but hizi sio shida za birrioneas wenye wana nunuanga flagship after every six months
Wacheni kununua china phones ziko hadi na tv setting. Buy real phone