In memory of the Phillips Iron box my mum used to iron my uniform in the morning before I put it on still warm from the iron (aah! The feeling), I am thinking of grabbing a Phillips smartphone but I note they use Unison chips… Wale watu wa Antutu na Geekbench, fanyeni Ile Maneno munishow kama Unisoc has upped their game.
The chip is a non-issue compared to the bigger elephant in the room. What will you do about network compatibility?
All in all, it will boil down to the specific model you intend to buy.
Philips haitengezi smartphones, na kama inatengeza, haziko kwa market ya kenya.
Zile simu zinauzwa Nairobi na Lagos Nigeria zinajiita Philips, ni fake.
Unisoc is the shittiest processor ever. Hizo achia simu kama Tecno na akina Infinix.
Iko Phillips smartphones in Kenya, I saw a guy marketing them just this week on tiktok
They are just Brandless Chinese devices shipped with an OS with Philips Logo and bodies branded wuth Philips logo.
Hata wewe ukienda China leo useme unataka simu iki boot inaandika PAUL utapata.
iko Kenya Nigeria, haiko kwa country ingine yyote. ni simu fake. Usinunue
Ati what?
Saitan!
Unaambiwa ukweli unatusiana. It wouldnt take more than 5 minutes to confirm on Philips official websites that they dont make phones
Sikutusiana. I was addressing the fake peddlers. Ni ma saitan
@sani @Ndindu Mambo kama hamuelewi wachaneni nayo kabisa, mumeshindwa kufanya gugu ya dakika mbili?? @Coolibah Simu zenyewe ni za Philips ndio lakini zinakaa Philips ilipatia Tecno tenda za kuziunda, bei ni za wakulima wadogo.
wacha kuwa ignorant. Philips haitengezi smartphones.
Io unaita tender, elders wameisikia na wewe kwa mara ya kwanza, wanashangaa io ni nini unasema.
Izo simu unaita Phillips, zinauzwa only Nairobi na Lagos.
Hazina official dealer, haziko China. Haziko country ingine yyote kwa dunia.
Dama wa mobile spare parts hauzi spare parts zake.
Ni simu fake.
Wewe ata hujui Philips ni company gani na inadeal na nini.
Usipost tena.
You have destroyed our mood, and ruined our Saturday
And sold by Euro Brand? Too many layers
Sani nitakuambia tena fanya research kabla uropokwe…listi ya models zinauzwa ziko pale GSMArena…GSMArena hugwes pata simu hazina kampuni zinaeleweka huko. Hizi simu za Philips zimekuwa zikiuzwa nchi za Asia, China, Malaysia, Singapore na Vietnam sanasana, Sasa wanataka kuziingiza Africa wale pesa ya nyeuthi kama Tecno. Wacha nieke links hapa…kwani hizi internet munalipia ghaseer ni za youtube, facebook na kuangalia maraya hapa kijiji?
Naah. Unisoc chips are still bottom tier. Not worth it
Sold by selected distributors, serviced na Carlcare. Hii inakaa testing phase for Africa, kikiumana wajitoe kabisa kwa biashara za simu, walikuwa wamewacha smartphones.
Na mimi nimekuambia Philips hawatengenezi smartphone.
Philips ni company ya Netherlands.
Ni company ime survive world wars mbili, so inajiweza, na haina haja na “pesa ya nyeuthi kama Tecno.”
simu zote ata zile fake ziko kwa gsm arena pia.
Hakuna company ya Netherlands simu zake zitakuwa serviced na Carlcare.
Io ni simu fake ya China. Ata Safaricom shop hawaezi kubalisha simu kama io kwa shop zao.
Enda carlcare watakwambia kwa nini tunasema ni fake.
Izo simu za Philips ni Itel imekuwa rebranded.
Kitambo, Philips walikuwa na joint venture na Sang Fei (Transsion)
Kitambo time market ya kenya ilikuwa na simu za Nokia, Siemens, Blackberry, Alcatel…
Io joint venture iliisha, sa ii Philips hawana biashara yyote ya smartphones.
Sang Fei wanauza rebranded Itel phones wakitumia jina ya Philips, sababu market ya Kenya na Lagos wanaijua vizuri, imejaa watu gullible.
"Sang Fei has been the exclusive supplier of Philips’ mobile phones globally since 1997, but chairman Hua Longxing says it is too early to tell what will happen when their agreement expires in June 2004
‘It is not for small companies [like us] to decide, but we will try our best to collaborate,’ he said."
@LeVoyeur @Coolibah @Maziwamimi @LwandaRwanda @Ndindu @Dudu1 @EL_CUCUY
Debate imeisha. Izo ni rebranded Itels.