Swali tu wadau tumekuwa tuki soma comics za Flash Gordon , beetle beanie, Andy capp , phantom na Popeye since 1960 tukiwa watoi . Mbona kina DC comics na marvel wasituchape ma movie na series za Hawa wasito yet upus za sijui antman wameundia watoi walizaliwa 2006 kina @Jimit@Deorro?
Musito wa Hollywood @crasher_18 na @nairobilay ongeeni na Steven Spielberg na Jerry Bruckheimer waingilie Kati tunaumia hapa kimillili. Ahsande
Phantom na Flash Gordon kuna tv movie walitoa tene sana, walikuwa wana jaribu mini-series ya the Phantom but haikushikisha fiti. In the near future labda…
series ya popeye watupatie , kusema ukweli hakuna sunday nation nimewai kosa kusoma popeye niliboeka na flash na phantom but popeye lazima na hio engrich yake ya ocha ya USA