Petrol prices in EAC countries

[ATTACH=full]447857[/ATTACH]

Ebu ongezea ya Nigeria ,Chad na Libya ndio tujue vizuri

sasa twende DRC ama ?

Watu wapake avocado kwa matako wakalie lami wateleze

Nigeria and Libya produce oil and haziko EAC

There is a reason nimeitisha hizo tatu najua haziko eac na Gaddafi was killed Nigeria wako na shida ya thitima wacha niwachie hapo

https://www.globalpetrolprices.com/gasoline_prices/

[ATTACH=full]447865[/ATTACH]
[ATTACH=full]447866[/ATTACH]
[ATTACH=full]447867[/ATTACH]
[ATTACH=full]447868[/ATTACH]
[ATTACH=full]447869[/ATTACH]
[ATTACH=full]447870[/ATTACH]

bei ya litre moja huku kenya ina nunua lita 24 huko iran:D kenya ni ngumu bana

So, I can import refined gas from fenesuela and from Libya? Nice biz idea

Kenya is doing so well, price-wise. Europe mabei ni mbaya sana, considering kuna some extra road charges, na winter ndio hii hapa, sometimes nduthi makes a lot of sense. To the mayor of london and TFL every journey matters. F.uck!!

Shoga takataka fanyia @cheekbusta wako hivyo

Baba mzee you think you are funny…sic

Ethiopia wanatoa wapi hiyo ya cheap hivyo

:D:D:D mchinku huko hongkong ameonyeshwa mambo kweli kweli, no wonder they developed electric cars.

Bei ya litre moja Kenya ndio Bei ya full tank Libya. Na bado tuko Africa moja. Tafakari hayo.

Na tuko na oil yetu pale turkana imelala