Leo tumeamkia story mbaya mbaya mpaka tukasahau ya kwamba the most notorious drug lord in the country filed a petition yesterday. Who has information regarding the proceedings taking place at the wakora court. Was it the only petition ama kuna zingine? What is cooking behind the scenes? Leteni hizo taarifa
lete evidence tumalize the drug lord.Kama hauna hiyo ni kelele ya chura(from Berlin)…
1 Like
banned from stepping a foot to the US due to the vice
Vile watu wanasa wanasoma hii thread
[MEDIA=facebook]168618937056140[/MEDIA]
kuna wengine walikua na mchezo sana
2 Likes
Paul Muite na Nyamodi wameambiwa nyumbani, waache wazito wapya waingie.
So they are now @Useless Spectator’s
3 Likes
Filing of affidavits by the respondents and a rejoinder(?) from the petitioner is ongoing… Kesi labda kuanza kuskizwa next week
Hiyo haijafikisha threshold ya highcourt ya kijiji.
Thanks for trying.