PETER KENNETH

Am wondering what’s in for PK in case Baba wins…the guy has been on the campaign frontlines from the word go apart from Junet sioni mtu mwenye amekuwa na Baba everywhere ka PK

He’s the incoming interior CS

Labda Interior deco

Head of Civil Service.

Hapa you need a smart career civil servant otherwise utachezwa ushangae…running the civil service sio mzaha

Raila atajaza jaruos in that cabinet,sidhani Okuyus and other partners watakuwa na say.
This election is tricky especially to Okuyos…whichever the outcome they can be screwed

Itakuwa mtihani kwa sababu baba ashatia muhuri kwa handshake, vyeo na viti vishagawanywa kazi ni kukamilisha safari. Canaan yaani.

Yaah kazi ishagawanywa…I know one Deputy Governor wa Nyeri county that beautiful lady,alikataa job ya Ambassador juzi lakini anaonenekana kwa campaign za Azimio,the same case to the former Nyeri Women rep Feminist Priscilla Nyokabi…huyu naye ako kila mahali Konyagi anaenda
Both are dry friable

[ATTACH=full]452948[/ATTACH]

[ATTACH=full]452949[/ATTACH]