Pesa ya wazee imetolewa

Why would the government allow very old citizens to travel from the comfort of their homes, to equity bank to queue for a whole day in order to get some few thousands. Hizo pesa si wawekewe kwa mpesa tu.

Nmekua equity and it’s not a pleasant scenario. Very old shosho amebebwa kwa mabega na wasee wawili while others wamelala kwa simiti because of exhaustion.

Alafu elders why should equity have a monopoly ya kugawa pesa ya wazee? Mwangi must be very influential.

wale wazee huwa naona equity wakichomwa na jua, watoto wao na wajukuu wanaendelea vizuri kuniliko. watu waache kuneglect wazazi.

Vile Sani amenego hapo above

Vijana tafuteni pesa sahii … bure mtakuwa hapo hapo pia … shauri zenu.

wazee walisema wanataka kuwacha legacy. ati wakizeeka hawataki kuwa lonely. ama namna gani @Jimit ? sasa wacha wakule ujeuri. Sani tuseme pamoja MGTOW=FREEDOM

Ni watoto utatafutia ama ni wewe utajitafutia?

watu wazae lakini wasipitishe watoto wawili

It’s a sorry sight at Equity. Very sad and lonely people I saw today

Wacha wazee wa interact na wenzao na kuona mazingira mapya three days in a year.

The money is channeled through either post bank, equity or KCB.

Hawa wazee ndio walikua MGTOW…hawana mtu wa kusaidia hao

Umesoma iyo kitu @sani ameandika kweli? 100% ya hawa wazee wako na watoto who are in cities.MGTOW was a very big taboo in African society . Out of 100 lonely old men that you will find in villages, 98 of them have kids and grandkids. tafakari

100%. Especially for men between 20 - 30 years of age. Everyday focus, 365/24/7, should be dedicated kwa relentless upward mobility.

Sawa lakini where are you going exactly? Bure kabisa. Ngombe ici

Usikae cartoon, for every incident you use to demonize the family unit and promote your MgayTOW agenda, I can equally show you 50 more that worked out well and good.

I am pro family bro but we cannot deny the fact and reality on the ground. And i am not promoting the AMG MGTOW, it is you guys who are d fantasizing in scam marriages that are breaking the family units left and right. Halafu mukileta hizo kesi hapa sisi kama AMGn hatuna budi ila kunyorosha nyinyi viboko

Many guys have stories on Why They neglect to help the wazees lakini at the end of the day we should be human and just help them. We never know what the future holds.

Kijana ni 35 and under and you have no business getting married or having kids ukiwa io age. Your focus should be on financial upwards mobility vile @Swansea amesema hapo juu.

easier said. but reality hapa Kenya mwanaume anaanza kupata financial stability at 30. Hizo hesabu za 20-30 wacha zibaki USA please

This negative attitude is what instills fear, hinders growth makes one never realize their full potential.

You’re looking at what can’t be done instead of looking at how & ways it can be done.

Nothing under the sun is impossible. Kwani the ones that have done it before were superhumans?

Change your attitude bro!