Pesa ya remedial imeibiwa

Nmeibiwa pesa ya remedial hapa kwa ofisi. I was having an early morning class at 7:00Am. I left my drawer unlocked and rush to class.

Nmerudi 8:30Am after class. nmepata my drawer is slightly opened but the remedial fee, ksh. 5000 hakuna. We share office 5 teachers na hatujawai ibiana tangu nikuje hii shule. Hata simu mi huwacha kwa desk but hijawaipotea. Recently Kuna slay queen teacher tuliongezewa tukawa 6. Huyo new teacher ndio alikua amefika by the time I was coming back from class.

Najaribu kuelezea principal but yeye anamtetea. Iyo Doo ilikua nilipe walimu wawili leo bana.

Mnaibia wazazi

Oh my God!

Tembea na pesa na hakuna CCTV. Common sense is not common

Ndekwe mnalipwa ngapi per lesson?

Elder zile masaibu hukufwata jameni ,hapa hakuna kitu ingine ile pesa ulikuwa upige sherehe nayo hii mwezi itabidi umelipa walimu wenzako.

Na bado. Dealing with slayqueens in any proffession is all doom and gloom

Fanyeni strike mkiwa na walimu wengine mchome staff room.

Wacha kuongea mbaaaya

Sio mbaya, kubali kila MTU ni mwizi kenya

Ksh. 1000. I had arrears

Baana, na nlikua ntaka kununua frame ya mlango

Dem amejikausha hapa but nashuku Sana ni yeye. Mwanafunzi hawezi Kua na hiyo courage yote

Install nannycam na muwache tupesa kidogo kama 500 ya bait kwa drawers zenu, ngonja muone drama. Utapewa hadi maku msee ukanyangie stori. Lipua mzigo Sawa Sawa hadi inuke

Malera Mixed Secondary School in Migori county had a mean score of 1.8 (E), with the top student getting a C- (minus). This must be your school.

Am in a national boys school in western region

:D:D:D:D @mtadao onea muyamaa @Ndekwe huruma

In Kimilili? Na mbona huweki pesa kwa wallet?

Don’t underestimate students nikiwa high school deputy principal aliwahi nishika na simu akaweka kwa ofisi yake i knew where he kept it. Nilipiga timing vizuri hio siku, time alitoka kuenda kwa choo i was in and out of the office within a minute nilibeba hio box mzima yenye alikuwa anaweka contraband.

:D:D:D