Upgrade gmail
Unataka gari ya 8 mirrions na unatumia free gmail?
no value for money, izo prices ni za corrupt government agency’s kama DCI. 8 million uta import gari ya maana zaidi kutoka japan
kwani pesa inakaa kwa gmail account?
I wish i took this advise 2 years ago…Nilikua na pesa imebaki after kujenga ka ploti mahali nikakua na option ya kubuy investment ingine ama nibuy gari. Bought a clean 2hand loved it but kurudi naona ningebuy hio investment alafu hio returns zingelipia gari. I think it was the comfort ya nishaivest…Nowadays any deprecating asset nabuy lazima ikue financied by a new investment.
Si kila mtu ni mkikuyu , afadhali nishike 8 gold chains , nyumba hutabeba kila mahali kama gari or chains attracting horizontal benefits kwani hujui life ya wezi na mikora kama @johntez_addi_gaza_ms ?