Pesa haina kelelele

2 Likes

Na Wewe uko na kelele ya kuomba omba pombe. Meffi

7 Likes

I am a PEASANT. I clearly stated that

Kuna siku back in 2017 nimesimama nyuma ya patrol y62 akiwekewa 25k worth of petrol na mimi nikangoja faithfully na 1500 yangu bila kumpigia horn asije akarudi reverse na kukanyaga gari yangu ya mwananchi wa kawaida hapo nyuma yake.

6 Likes

.Ukapiga horn asikumalizie mafuta

5 Likes

Ilikuwa mimi

6 Likes

Nikiona client na gari kama hii naingizanga baridi sana afdhali watu wa probox.

Wueh kasongo akisema we are average thinkers hakukosea…max lets hii gari ni 93/95 litres, so on average ni 17k full tank, that’s not a lot.

2 Likes

More, kuna day boy wangu alinipea yake nikajaza ikafika 120 litres na bado ilikuwa inaendelea.

1 Like