Nimepanda 14seater nikaketi huko nyuma na kando yangu kulikuwa na sweet chile.
Yeye aliketi kwa window seat on the right mimi on the left then mzae fulani in the middle.
Sasa kufika stage huyo mzae akatoka mbio na haraka ata before wasee wengine.
Mimi nikaenda kutoka mbele ya huyo chile but apo mbele yetu kulikuwa na chile amevaa mini skirt na ni mweupe.
So akiinama kushuka her inner thighs zilikuwa zanaonekana. Huyo dem akaanza kuwika shame on you you are a pervert.
Mbona unamuangalia aaaah nilitembea nikaenda tu