Personal Opinion

Gachagua should let Arror’s people do whatever they want, without defending himself.

Then aishi maisha private huko nje, bila kelele mingi.

Siasa itamfyonza damu, na io pesa anatafuta akiwa DP, kuna chances mingi hatapata nafasi ya kuitumia.

He should not resign, and should not defend himself, wafanye chenye watafanya.

Gachagua ndiye deputy president wa mwisho kenya, next governments watakuwa wanachukua wanawake kwa io kiti, puppets.

2 Likes

Nabii aweke Rachel hapo

1 Like

Nabii Sakayo Jabass is a moron

5 Likes

Kagege

Anaenda home kiroho safi

1 Like

but y’all how motherfuckers cannot see that it is the government’s ploy to divert attention from REAL issues - kina shif, adani, and all this other bullshit that is going on, i willi neffa understand.

Hiyo enda ukaambie watu walipigia serikali kura to tighten their oversight role.

Your giving this government too much credit they can’t accomplish much they are too dumb.

1 Like