Dunia mzima, Ruto peke yake ndo ameongeza “PhD” kwa majina zake kwa social media, hakuna president mwengine yyote amefanya ivo, na sio eti ao wengine hawajasoma.
Dunia mzima, politicians wa kenya peke yao ndio wameongeza izo vitu za HSC, MBS, EBS…kwa majina zao kwa social media.
Country zengine zote za dunia huwa na izo national awards pia, lakini hakuna mtu hujibandika izo vitu kwa majina zake,