Pep: City will help Joe Hart find a new club

Aliongeza kina nani kwa squad?

Got much respect for Ancelotti, very tactical and defence-wise he’s your guy.

Keeper wapoa wa passes na distribution ndio hao sasa, Ter na Neuer. Then kutoka hapo Neuer anaingia ligi soo, Ter concedes alot of goals and can’t be considered a sweeper keeper. Hart on the other hand concedes less (anyway, hakuna keeper 100%) but isn’t the best when it comes to distribution, but overall in comparison to Willy na Claudio jo, hakuna mahali nawaona. Heri Hart…

1 Like

Unasahau wali buy Renato sanchez wa portugal na hummels kutoka Dortmund

true true

1 Like

Huyu kijana atapata namba kweli na venye kikosi iko tight. Na bado sikucheki Costa na Robben, wah!

wewe uliona huyu kijana akitetemesha watu pale euros? kuna game moja if it was not for him portugal walikuwa watokee…siwezi sahau hio siku juu alinichomea bet huyo boy renato…hawa ndo maboy Wenger angefa nunua aki

Rumours zinaingia Mustafi anakuja 35million na striker Fulani wa LA liga

Lucas Perez ashamaliziwa hadi medical. Kesho anaingia training. Mustafi sijui Kama washamalizana Na club ya kwao, but pia yeye alikuwa aingie training ngware…

3 Likes

naskia wote wawili watakuwa officially announced as Arsenal players in the wee hours of the morning…kedo 5am UK time / 7am Kenyan time or earlier

1 Like

mustafi na koscienly na bellerin :smiley: naona cech akishinda golden glove

Swadakta

Lakini bado Wenger Ni meffi Tu. Yaani anakausha hela Ni kaa za mamayake. Hawezi meet release clause za maplayers wako 60+ million euros. Ati anaangalia masilahi ya 600 workers wa emirates.

Stupid club policy, si wenger pekee

:D:D:Dtumeumia sana

Lakni Mustafi ataweza England pekee? Plus he is not very physical.

Kwanza huyo Walcott angeachwa aende loan.

wacha tuone asikuwe kama gabriel

2 Likes

Kuna kitu Wenger hufail nayo, and that is shielding his players even when there’s nothing special to sing about them, apart from few sparks here and there. Kama walcott angekuwa club ingine angekuwa ashauzwa…

2 Likes

Hart anakuaga shimo sana wacha atembee…

ION mlicheki vile PSG husign players wa nguvu na hawasumbui… ben arfa, jese na rodriguez wa madrid msee

cheki mid: verrati, matuidi, di maria, pastore, motta, rabiot

[ATTACH=full]54814[/ATTACH]