Pep: City will help Joe Hart find a new club

Yaani Guardiola ameona Hart ni bure aishie abaki na maembe Willy; though rumors zinadai analeta mzee Claudio Bravo…
“Pep Guardiola has revealed that Manchester City will do everything possible to help Joe Hart find a new club. The Spaniard has frozen out the England number 1 since arriving in the Premier League earlier this summer, and handed Hart what appeared to all intents and purposes to be a farewell appearance against Steaua Bucharest in midweek. With Claudio Bravo’s arrival, Hart is free to leave the club but after Sevilla and Everton - the two clubs with most significant reported interest - now both ruling themselves out the chase there is a question mark over whether City will be able to shift the England keeper.”
Meanwhile Werder Bremen inakamuliwa kamukama na kikosi cha mzee Ancelotti… Current score at minute 78 6-0

Ex team ya Pep Bayern inakamuana uko kwao sai ni 6-0

Bundesliga ni Bayern tu na Dortmund.

Guardiola anapenda keepers wakupass ball kama Neuer.

Hio game ya kwanza just confirmed your statement…nimeona hio game jo…Bremen wamechezewa kama watoi…hata sijui mbona haikuisha 10-0

Hart may be heading to Liverpool. I feel for him although pia yeye alichuja Shay given vivyo hivyo. As for Bundesliga, hio sio ligi

Na venye hadi Bravo ako poor Na hizi passes. Msee ako poa Ni Ter Stegen. Ata Cabalero Ni maembe Sana. Wacha afunze EPL sio ya mama ya mtu

Ameonyesha Hart madharau, angempa time ya kuimprove hata kama angemweka bench.

Huyo keeper wa Bremen Jo. Hadi nikaswitch kwa game ya Espanyol - Malaga. Kufungwa one way Ni noma jo

Ukweli Jo. Wacha hio squad ingine ikaribishwe kwenye EPL…

Shay Ni injury ilimueka kando, then Hart akashine…

Meanwhile Chelsea wamekatalia kusign center back naona tukimaliza 6th

That French boy anaweza okolea akitoka injury though Terry amezeeka na Cahill pia ni bure.

Ancellotti anabongeshwa na Tv journalists wa ujeru in Deutsch alafu akajifanya anajua lakini inachapa ukuta… Tv journalist amemshow don’t worry u can talk in english…wacha niskie vile anasema

Si mafans wa Chelsea walidai Terry aongezewe contract… Kikosi bado iko sawa. Bora mfunge more than you receive

Ancelotti amepata squad imeiva, Bundesliga inakaa watabeba. Game yao wategee UCL…

Hart si keeper dependable, ako na ile hype ya british nationality.

True, si dependable, but imagine sasa Caballero ndie keeper tegemeo. Au hata Bravo…hehehe. Yetu ni macho tu…

Ameulizwa kama watachukua UCL…hata hawakutaja Bundesliga coz they already know

huwezi mcompare na ter, ama neuer. Sijui defence ya Pep iko na akina nani but epl is quite different…timu kama WBA inaeza funga fluke moja alafu defence hadi 90.