People confessing all manner of evil they have done















Uko na tabia za kitoto. I bet you’re a last born and your older siblings stopped talking you at around when you could fully form sentences

4 Likes

Hio ya kuenda na simu shule alafu unatumia ukiwa inje ya staffroom ni nomaree

1 Like

Noma sana.

1 Like

Kukatia mamako only to realize ni kunguru mpaka amekuruka eti hana mtoi.

Ha Ha Ha Lol GIF

3 Likes

Hiyo mambo za kudinya kuku na mbuzi WTF

@WasikA kudeenyer kuku later waidishi after mama kutoka sondu kuuza coomerniner , wtf

You can bet this is a feminine man. Meff post.

What kind of low IQ post is this?