@Mkufuu - Road trip to TZ
@Wakanyama - apartments
@kawambui - life in Laikipia
@Fieldmarshal Couch potato - dryspell
Ongezeni hao wengine tunadai hizi hekaya, I believe it’s still a holiday today.
MM wafaa uanze hio list na @pamba
@Mwa anafaa a-revise hekaya yake to meet kijiji standards
Mimi naondoka kesho kuelekea Moshi…nitaweka picha za ziara yangu hapa.
@pamba ako na hekaya kama tano hivi pending
@Purr_27 unajua tu uko na hekaya
D.O 1 is yet to give his maiden hekaya
mine coming soon. betrayal from Njeri
as soon as nikiweka roof
@kadinya we are waiting all your weekends hekaya
Mine is in the pipeline, ndio nafanya final touches
Aiiiiiiiiiii mboss, angusha moja ata wewe
Kidinyi disappeared just like that? Am sure by now the hekayas we would have been regaled with would have been epic.
Weka hekaya Mathice…I know the last one watu walikojolea…ya ule dem wako aliolewa na pastor…but weka hekaya tuchangamkie.
Ha ha, nitaweka moja before the festive season is over.
salamu za Mungu tu…Bwana asifiwe
Dry spell yangu iliisha. I will soon post the evidence.
Kuna MF wengi kazi yao
ni kukojolea Hekaya za watu.
Mm badoniko bahamas…nikitoka ntaleta hekaya
Bahamas ya Watamu, Poa kakabrazza
:D:D:D
Still waiting…
Phombe mbaya, can’t type full hekaya on phone. How’s our hood, naskia barabara ya mwihiko ilipata rami
Siku nyingi, lami hadi kwa gate… Don’t worry najua hekaya zitacome