Peasantry in Motoring

@Panyaste kuja uone watu wametoka Ocha hivi majuzi

Lights ka 50 kwa gari

Stickers ka post ya stima githu

Anatandika vitambaa kwa kiti ya gari

Speaker kuuuuuubwa kwa Boot

Peasantry!

[ATTACH=full]238021[/ATTACH][ATTACH=full]238022[/ATTACH][ATTACH=full]238023[/ATTACH]

It definately had to be a thurakus car! Wanajulikana na vilemba! Huyu ni wa kanisa, hajaeka label ya Dakar ama Johny Walker.

Hiyo Gari haiwezi kosa Video Mix ya Samidoh, hiyo speaker haijawekwa hapo bure:D:D:D:D

Ukipewa lift tulia

It had to be a shubaru!!! Toyota, BMW guys we cant relate

KCH nine sigiste three ndi

Hawa Thurakus wana bore sana. Radio stations za thurakus ukihesabu utapata more that 50, same language different stations.

Definitely watu wa ocha

@Makonika uliacha kutandika ngozi ya kondoo kwa dashboard ya ile 5 litre yako?

hizo headrest pillow covers:D:D:D:D:D

Can never be me…
Safisha mecho na upskirt.
[ATTACH=full]238045[/ATTACH]

sikuhizi wanaweka logo ya APPLE bwana

Kumbe wewe ni mrasta

Yes.
Dreads zangu ni internal.

We are known for multitudes in everything. From population, fiashara, radio stations, mburoti, froboks etc

#hahaSomeMore:D:D

Hii gari iko na shock nne nyuma ???

Yes Sir.

afterthought

if you ever find this car missing , try and find out my location first before reporting it stolen :D:D:D:D:D

Hehehe.
I know where to find you, young man.