- Money can’t buy everything
- A good name is better than riches
- We came naked and we die naked
- It’s better to be educated and poor than
be illiterate and rich. - The poor person is of God.
****Ongezea zingine
pesa watu hukufa na wana wacha
Hata umiliki dunia nzima utazikwa Kwa kaburi ya futi sita
Siwezi nunua gari na ninalipa rent
God will provide
Amepata pesa kidogo sasa anaringa,
Anaringa na gari ya loan
Hehehe
Money is the root of all evil
Ananunua gari na hajajenga kwao
fobe ni fobe yote tutapatana kwa urinal
-Mungu ataleta mvua
-You will receive God’s blessings
Salimia watu, pesa huisha
Anajiita birrionare na analima cassava . Ktalk peasants
Kila mtoto uzaliwa na sahani yake - Sauti Sol
Unaringa na umejenga hio nyumba tukiona.
Unaringa na umenunua hio gari tu juzi tukiona.
And many more along those lines…bana mtu sahio ana wivu ingine noma na ni maskini tih tih tih.
Nkt.
Proverbs ya our bottom homosexual illiterate @PHARMACY
Miti ni dawa
Ukikula maembe pamoja na sturungi hautazeeka
Anaringa na haki kagari kadogo. Si anunue V8 aweze kuturingia. (Yule anasema hivyo hata hana motorbike)
:D:D:D
Amesoma na hata hakuna makazi
Cheza na mimi i scartch my navel
Hehehe