But the milk was first stolen from a cow
I don’t see no one stealing.milk just some monkeys shoving and pushing. Anyway, kuna kitu mbaya yenye clergy ya PCEA haijafanya hii dunia? Those fuckers are really mean. Sio kukula kondoo, sio fights kwa kanisa, sio kuiba sadaka na Mali ya kondoo. Kwanza moderator mwenyewe ndio anakuwanga hatari sana.
Unakumbuka story ya PCUEA na Mombasa Lodging sagas?
Banae. Hao wasee zile scandal huendelea hapo Milele South C can make some govt scandals seem like child’s play.
The mutaratara leadership is more corrupt than the Taliban
:D:D:D eh, hao jamaa wamekuchosha basi! Taliban is so corrupt mpaka kaa kuna mtu amewashinda then shida ipo.
U know warra I mean
Na kulazimisha kondoo kuchangia investments ambazo hazina dividends.