PayPal to mpesa

Safaricom seem to be at it again. Inaonekana wamepandisha rates kichinichini. Back to Equity again it seems.

Pesa zangu zimekwama Bana
These goons

You guys still fuck with PayPal? :oops:. Hizo ghaseer waliiba $12,000 na kuniban

Iza man.

Rates sahizi ni ngapi?

Weeh :oops::oops: Pole.

Lete hiyo acc nikutolee iyo pesa…

jana ilikuwa record high 118.05 halafu leo ni 116.54. Na shilling haijarally against the dollar.

Wueh, pole sana!

Peleka hao ICC that’s alot:D

Walikuban ama walikupea 180 days?

Hio ni ukora… What do you use now?

Walimpea 180 days to withdraw that money through a US bank.

Now why would any sane being use that app today for their transcations na kuna direct from card to mpesa apps?

Pia mm kuna time walinifungia paypal account yangu na 1000 dollars wakanisho naeza withdraw after 180 days through a US bank account. Vile 180 days ikaelapse nikalink na bank acc ya US ya arif wangu flani ikadinda na pia mpesa ilikataa nikasare hiyo doh tu. Fast foward baadaye nilikua nimetulia kwa club flani wikendi nikaamua nitry mpesa ile tu kimchezo na hiyo pesa ikatoka. Hiyo day niliitisha mzinga ya Green Label. So @Juliana Nzaumi ebu try mpesa tena na ikiingiana nirushe kakitu.

Iko companies wanatambua paypal only kudisburse payments. Lakini bana kama mtu unaeza avoid paypal just steer clear. Wanaeza kufuck vibaya sana.

Alternative ni gani yenye inaweza tuma doh to mpesa?

I dont know.

It’s back to 118.05. Some gerrymandering going on here.

Skrill inawezatuma to mpesa ama hata bank

Niliwithdraw Jana na Io 116 na ikaniuma sana,lakini nitakuwa nacheck rates kabla ya kutoa