Hizi mashida zote zinaandama NASA zilianza wakati wanaume wanne walikaa wakaona wanaeza unda paybill wakule pesa ya wakenya, hamtawahi cheza na jasho ya watu tena,mtateseka mpaka kieleweke
Watu ni ngombe sana. Mimi ni jubilee lakini Uhuru akiweka paybill siwes mchangia hata Bob. Wale wanakulanga na yeye pesa za tender I.e the Wanjigis of this world should contribute. The average Kenyan voter does not think beyond his nostrils
Jembe
Saidia the movement mzeiya acha roho ya choyo…Unawapa kiasi kidogo sio mbaya!
Ila nimekuelewa masikitiko yako juu yao!Naelewa mkuu!